In Summary

Zahera, ambaye ni kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya DR Congo, ametua nchini juzi usiku na kupokewa na msaidizi wa mmoja wa viongozi wa Yanga.

NI dhahiri kuwa klabu ya Yanga imeachana jumla na kocha wake, Mzambia George Lwandamina na sasa imemleta Mkongomani Mwinyi Zahera kushika wadhifa huo.

Zahera, ambaye ni kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya DR Congo, ametua nchini juzi usiku na kupokewa na msaidizi wa mmoja wa viongozi wa Yanga.

Ujio wa Zahera umekuwa siri kubwa, lakini Mwanaspoti ambalo liliweka kambi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, lilifanikiwa kuzungumza naye ambapo ameeleza mikakati yake na makubaliano yake na Yanga yalipofikia.

Kwa taarifa zaidi hakikisha unasoma gazeti la Mwanaspoti kesho Jumanne, Aprili 24, 2018

ADVERTISEMENT