In Summary

Makala haya yanaangazia timu zote za Ligi Kuu England na usajili wao wa karibuni, mchezaji gani amenaswa kwa pesa nyingi kwenye timu hizo? Cheki hapa.

LONDON,ENGLAND.DIRISHA la usajili wa majira ya kiangazi huko Ulaya linaendelea, kuna timu zimeshapata wachezaji zinazowataka huku nyingine zikiendelea na mazungumza na wale wanaotaka.

Ligi Kuu England, ambayo ni moja kati ya ligi tano kubwa Ulaya, nako hekaheka zinaendelea. Lakini nani anafahamu tathmini na mabadiliko ya kifedha ya usajili mkubwa kwa kila klabu inayoshiriki EPL kwenye miaka ya karibuni?

Makala haya yanaangazia timu zote za Ligi Kuu England na usajili wao wa karibuni, mchezaji gani amenaswa kwa pesa nyingi kwenye timu hizo? Cheki hapa.

ARSENAL

Sylvain Wiltord – Pauni 13 milioni (Bordeaux,

Agosti 2000).

Andrei Arshavin – Pauni 15 milioni (Zenit St Petersburg, Februari 2009).

Mesut Ozil – Pauni 42.5 milioni (Real Madrid,

Septemba 2013).

Alexandre Lacazette – Pauni 46.5 milioni (Lyon, Julai 2017).

Pierre-Emerick Aubameyang – Pauni 55.5 milioni (Borussia Dortmund,

Januari 2018).

ASTON VILLA

Juan Pablo Angel – Pauni 9.5 milioni (River Plate, Januari 2001).

James Milner – Pauni 10 milioni (Newcastle,

Agosti 2008).

Stewart Downing – Pauni 12 milioni (Julai 2009).

Darren Bent – Pauni 18 milioni (Januari 2011).

Wesley Moraes – Pauni 22 milioni (Junei 2019).

BOURNEMOUTH

Tyrone Mings – Pauni 8 milioni (Ipswich, Juni 2015).

Benik Afobe – Pauni 10 milioni (Wolves,

Januari 2016).

Jordon Ibe – Pauni 15 milioni (Liverpool, Julai 2016).

Nathan Ake – Pauni 20

milioni (Chelsea, Juni 2017).

Jefferson Lerma –

Pauni 25 milioni

(Levante, Agosti 2018).

BRIGHTON

Mat Ryan – Pauni 5 milioni (Valencia, Juni 2017).

Davy Propper – Pauni 10 milioni (PSV, Agosti 2017).

Jose Izquierdo – Pauni 13.5 milioni (Club Brugge, Agosti 2017).

Jurgen Locadia – Pauni 14 milioni (PSV, Januari 2018).

Alireza Jahanbakhsh – Pauni 17 milioni (AZ Alkmaar, Julai 2018).

BURNLEY

Steven Defour – Pauni 7.3 milioni (Anderlecht,

Agosti 2016).

Jeff Hendrick – Pauni 10.5 milioni (Derby,

Agosti 2016).

Robbie Brady – Pauni 13 milioni (Norwich, Januari 2017).

Chris Wood – Pauni 15 milioni (Leeds, Agosti 2017).

Ben Gibson – Pauni 15 milioni (Middlesbrough, Agosti 2018).

CHELSEA

Michael Essien – Pauni 24.4 milioni (Lyon, Agosti 2005).

Andriy Shevchenko – Pauni 30.8 milioni

(AC Milan, Mei 2006).

Fernando Torres – Pauni 50 milioni (Liverpool, Januari 2011).

Alvaro Morata – Pauni 58 milioni (Real Madrid,

Julai 2017).

Kepa Arrizabalaga – Pauni 71 milioni (Athletic Bilbao, Agosti 2018).

CRYSTAL PALACE

Dwight Gayle – Pauni 4.5 milioni (Peterborough,

July 2013).

James McArthur – Pauni 7 milioni (Wigan, Septemba 2014).

Yohan Cabaye – Pauni 10 milioni (PSG, Julai 2015)

Andros Townsend – Pauni 13 milioni (Newcastle, Julai 2016).

Christian Benteke – Pauni 27 milioni (Liverpool,

Agosti 2016).

EVERTON

Yakubu Aiyegbini – Pauni 11.3 milioni (Middlesbrough, Agosti 2007).

Marouane Fellaini – Pauni 15 milioni

(Standard Liege,

Septemba 2008).

Romelu Lukaku – Pauni 28 milioni (Chelsea,

Julai 2014).

Jordan Pickford – Pauni 30 milioni (Sunderland, Juni 2017).

Gylfi Sigurdsson –

Pauni 45 milioni (Swansea,

Agosti 2017).

LEICESTER

Leonardo Ulloa – Pauni 8 milioni (Brighton,

Julai 2014)

Shinji Okazaki – Pauni 9 milioni (Mainz, Juni 2015)

Nampalys Mendy – Pauni 13 milioni (Nice, Julai 2016)

Ahmed Musa – Pauni 16 milioni (CSKA Moscow, Julai 2016).

Islam Slimani –

Pauni 29.7 milioni

(Sporting,

Septembai 2016).

Page 1 of 2
ADVERTISEMENT